

Mononoke
·モノノ怪
Mwanamume mmoja anauza dawa na kuwinda mapepo, akitumia upanga kuwaua. Kabla ya kushambulia, lazima agundue umbo la pepo, ukweli nyuma ya mateso ya kibinadamu, na chanzo cha uovu uliouumba. Baada tu ya kuelewa vipengele hivyo vitatu ndipo anapiga.


